Mvulana anayekadiriwa kuwa na miaka sita hivi jumapili iliyopita alikuwa kivutio wakati Papa Francis alipokuwa anatoa hotuba ya Mwaka wa Imani kwa familia katika viwanja vya Vatican. Mtoto huyo ambaye alikuwa amekaa katika kiti chake aliamka na kwenda kumfuata Papa na kubusi msalaba wake wa shingoni na kumkumbatia na hapo hakutoka tena kurudi mahali pake pa awali. Papa Francis aliamua kumkalisha kwenye kiti chake cha kipapa ili aweze kuendelea na mahumiri yake.

Mtoto akibusu msalaba wa Papa

Akikataa kwenda kukaa katika kiti chake na kukaa na Papa kama rafiki
Eventually Francis convinced the child to take a seat. But he didn't go back to his spot on the steps. Instead, the rambunctious youngster sat on the Pope's chair while he continued his speech, which led to this a-dor-a-ble photo that @pegobry posted on Twitter.The interaction goes to show a.) the Pope has some serious cross-generational appeal and b.) you can get away with a lot when you're a kid and don't know any better.

No comments:
Post a Comment