Katibu
Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akizungumza mwanzini mwa siku ya tatu
ya simina ya mafunzo kwa watendaji na viongozi wa CCM ngazi za wilaya na
mikoa, leo Oktoba 23, 2013, katika ukumbi wa Sekretarieti, Jengo la
White House, Makao Makuu ya CCM mjini Dodoma. Kushoto ni Katibu wa NEC,
Oganaizesheni Mohamed Seif Khatib na Naibu Katibu Mkuu wa CCM
(Zanzibar), Vuai Ali Vuai.
Katibu
wa NEC, Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akitoa mada kuhusu namna nzuri ya
kuandaa mikutano, katika siku ya tatu ya semina ya mafunzo ya siku nne
kwa watendaji na viongozi wa CCM ngazi za wilaya na mikoa, leo Oktoba
23, 2013, Makao Makuu ya CCM mjini Dodoma.
Washiriki
wa semina ya mafunzo kwa watendaji na viongozi wa CCM, katika siku ya
tatu ya semina ya mafunzo ya siku nne kwa watendaji na viongozi wa CCM
ngazi za wilaya na mikoa, leo Oktoba 23, 2013, Makao Makuu ya CCM mjini
Dodoma.
Baadhi
ya Wajumbe na Makatibu wa Sekretarieti ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya
CCM (NEC), wakiongozwa na Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana,
kusikiliza mada iliyokuwa ikitolewa na Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi
Nape Nnauye (hayupo pichani) katika siku ya tatu ya semina ya mafunzo ya
siku nne kwa watendaji na viongozi wa CCM ngazi za wilaya na mikoa, leo
Oktoba 23, 2013, Makao Makuu ya CCM mjini Dodoma.
Katibu
Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akisalimiana na baadhi ya wajumbe,
katika siku ya tatu ya semina ya mafunzo ya siku nne kwa watendaji na
viongozi wa CCM ngazi za wilaya na mikoa, leo Oktoba 23, 2013, Makao
Makuu ya CCM mjini Dodoma.
Katibu
wa NEC, Siasa na Uhusiano wa Kimataifa, Dk. Asha-Rose Migiro (kulia,
safu ya mbele) akifuatilia kwa makini mada iliyokuwa ikitolewa na Nape
(hayupo pichani), katika siku ya tatu ya semina ya mafunzo ya siku nne
kwa watendaji na viongozi wa CCM ngazi za wilaya na mikoa, leo Oktoba
23, 2013, Makao Makuu ya CCM mjini Dodoma.
Katibu
wa CCM, Wilaya ya Kasulu mkoani Kigoma, Kombo Kamote, akiongoza kuimba
wimbo wa hamasa, katika siku ya tatu ya semina ya mafunzo ya siku nne
kwa watendaji na viongozi wa CCM ngazi za wilaya na mikoa, leo Oktoba
23, 2013, Makao Makuu ya CCM mjini Dodoma. Kulia kwake ni Katibu wa CCM,
wilaya ya Kigoma mjini, Augustine Minja.
Baadhi
ya wajumbe wakipitia ratiba, katika siku ya tatu ya semina ya mafunzo
ya siku nne kwa watendaji na viongozi wa CCM ngazi za wilaya na mikoa,
leo Oktoba 23, 2013, Makao Makuu ya CCM mjini Dodoma.
Mkuu
wa Mafunzo ya taaluma makao makuu ya CCM, Hadija Faraji (kushoto),
akiwa miongoni mwa jopo la sekretarieti, katika siku ya tatu ya semina
ya mafunzo ya siku nne kwa watendaji na viongozi wa CCM ngazi za wilaya
na mikoa, leo Oktoba 23, 2013, Makao Makuu ya CCM mjini Dodoma.
Baadhi ya wajumbe
wakibadilishana mawazo, katika siku ya tatu ya semina ya mafunzo ya siku
nne kwa watendaji na viongozi wa CCM ngazi za wilaya na mikoa, leo
Oktoba 23, 2013, Makao Makuu ya CCM mjini Dodoma.
Sekretarieti
ikiwa kazini, katika siku ya tatu ya semina ya mafunzo ya siku nne kwa
watendaji na viongozi wa CCM ngazi za wilaya na mikoa, leo Oktoba 23,
2013, Makao Makuu ya CCM mjini Dodoma.Imetayarishwa na theNkoromo Blog
No comments:
Post a Comment