ADV

ADV

ADVERTISEMENT CORNER

HUDUMA YA KUKATA TICKET ZA NDEGE ONLINE


SOMA HABARI

SOMA HABARI

Tuesday, October 15, 2013

SIKU HIZI UKISHIKWA UMEIBA SUPERMARKET ZA BONGO UNAFANYIWA HIVI!!


mimi ni choriiii
Wadada wa mjini, kuna wengine wanajifanya wajuajiii kumbe ni machorii, hebu huyu hapa yaliyomkuta daaah aibu gani hii msichana mrembo unavalia unapendeza, unaenda supermarket kuiba.
yote hii ni kutaka mambo makubwa
hivi mnafikiri zile camera zimewekwa pale kama mapambo? ishi uwezavyo na ukienda supermarket chukua kile mfuko wako unaruhusu lasivyo yatakukuta yaliyomkuta huyu Jenifa mwiz

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...