ADV

ADV

ADVERTISEMENT CORNER

HUDUMA YA KUKATA TICKET ZA NDEGE ONLINE


SOMA HABARI

SOMA HABARI

Monday, October 28, 2013

Wasanii wa vichekesho wa Saudi Arabia wasaidia wanawake kupata haki za kuendesha magari



Hakuna mwanamke anayeruhusiwa kuendesha gari katika Ufalme wa Saudi Arabia. Wanawake wameanza kupingana na maamuzi hayo na wameanza kuendesha magari kwa siri na kuweka picha zao katika mitandao ya Youtube. Jumamosi iliyopita ilishuhudia askari wengi wakewa wameweka viziuzi katika viounga vya jiji la Riyadh kuhakikisha mwanamke yeyote anayeendesha gari anakamatwa.

Jamii imeanza kusikia kilio cha akina mama hao kama comedians hawa wanavyoimba "no woman no drive"
Wanawake nchini Saudi Arabia hawaruhusiwi pia kusafiri nje ya nchi yao, pia kuajiriwa.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...