
Kikosi cha timu ya Simba na
kocha wao Wamewasili kwa ndege ya Precision AIR mjini Bukoba asubuhi
hii na wamepiga kambi kwenye hotel maarufu mjini humo inayofahamika kama
SMART Hotel. Yanga wanawatajia kukipiga na timu Kagera Sugar siku ya
Jumamosi ndani ya uwanja wa Kaitaba.









Njiani kuelekea Hotelini.
Smart Hoteli waliyofikia timu ya Yanga.
Pichani juu na chini wachezaji wakiwasili hotelini mjini Bukoba.



No comments:
Post a Comment