Mwanaume mmoja huko Washinton ameacha kitita cha dola milioni 187.6 kama msaada kwa makundi yanahohitaji msaada huo.
Mwanaume huyo Jack MacDonald amekua akiishi maisha ya kujinyima sana na alikuwa akitumia usafiri wa mabasi badala ya kununua gari za kifahari.
Jack MacDonald ambaye amefariki mwezi wa 9 mwaka huu akiwa na umri wa miaka 98 ameacha hazina ya utajiri wake kwa Seattle Children's Hospital, Chuo Kikuu cha Sheria cha Marekani na kituo kingine kinachoitwa Jeshi la Ukombozi (Salvatin Army)
Familia ya MacDonald imesema kwamba ni watu wachache sana hasa wa karibu kabisa na familia yake waliokuwa wanajua utajiri mkubwa aliokuwa nao. Familia hiyo imeishi na Jack kwa miaka 40 ikiwa inajua siri za utajiri wake wakati yeye mwenyewe akiishi maisha ya kujinyima kabisa.
"Our family has lived with the 'secret' of Jack's generous fortune for
more than 40 years, all while being amazed at his frugal lifestyle and
modest demeanor," said Regen Dennis,
MacDonald's stepdaughter. "He was quirky and eccentric in many ways,
and always stayed true to himself by acting on his convictions to do the
most good with his wealth."
Jack amefanya kazi ya uwakili kwa miaka 30 na aliweza kujilimbikizia utajiri mkubwa kwa kuwekeza fedha alizoachiwa na wazazi wake kama urithi. Hata hivyo Jack hakuwa na mtoto wa kumzaa ila wa kufikia tu na alioa mwaka 1971. Jack aliishi katika chumba kimoja tu katika apartment aliyokuwa akikaa na hakujionyesha kama ni tajiri.
Jack alikuwa akichangamikia offa zinazotolewa na makampuni mbalimbali ili kupata punguzo la bei ya kila bidhaa aliyokuwa akitamani. Siku moja alinunua makopo mengi sana ya juice iliyogandishwa kiasi kwamba ailihitaji kuwa na friji zima kwa ajili ya kuhifadhi juice hizo, yote hayo ni katika kubana matumizi."Apparently MacDonald would often visit multiple grocery stores to take advantage of deals and one time bought so many cans of frozen orange juice on sale, he needed to find an additional stand-alone freezer to fit them all"
Jack alinunua hisa kutokana na pesa alizorithi kwa wazazi wake ili pamoja na faida itakayopatikana aweze kuwasaidia wahitaji baada ya kifo chake.
The $187.6 million gift will be given through a trust. The three organizations will receive a portion of the income earned from the trust with 40 percent going to support pediatric research at Seattle Children's Hospital and 30 percent going to student scholarships at the University of Washington School of Law.
The Northwest Division of the Salvation Army will receive a portion of the interest of the trust or $2.8 million in the first year.
No comments:
Post a Comment