ADV

ADV

ADVERTISEMENT CORNER

HUDUMA YA KUKATA TICKET ZA NDEGE ONLINE


SOMA HABARI

SOMA HABARI

Monday, November 4, 2013

LOWASSA ANGURUMA BUNGENI



Edward Lowassa.

Katika hali isiyo ya kawaida, Waziri Mkuu aliyejiuzulu, ambaye 
huongea kwa nadra bungeni, Edward Lowassa leo amenguruma na kutaka taifa
kuacha kuweka vipaumbele vingi visivyotekelezeka kwa wakati.
Alitaka serikali kuweka nguvu katika vipengele vichache vya msingi kama ajira, afya, elimu na miundombinu.
Aliwapongeza mawaziri John Magufuli kwa kuimarisha barabara na Dk. 
Harrison Mwakyembe kwa kubuni mbinu za kupunguza foleni jijini Dar es  Salaam, alizosema zinachangia kuharibu uchumi kwani watu wengi wanakaa 
barabarani badala ya kufanya kazi.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...