ADV

ADV

ADVERTISEMENT CORNER

HUDUMA YA KUKATA TICKET ZA NDEGE ONLINE


SOMA HABARI

SOMA HABARI

Monday, December 2, 2013

Ajali eneo la Wami leo

 Malori yaliyogongana yakiwa yameziba njia  eneo la mto wami
 Foleni ni kubwa sana ya mabasi yaendayo mikoa ya Tanga, Arusha Na Kilimanjarooooo


Ajali mbaya imetokea muda huu eneo la mto wami na kusababisha Foleni kubwa sana kwa magari na mabasi yanayotumia njia hiyo.Chanzo cha ajali hiyo inadaiwa ni kufeli breki kwa malori hayo yakiwa yanateremka kwenye mlima huo.Polisi wanaendelea na jitihada za za kuyatoa ili njia ipatikane kwa ukubwa zaidi ili kuruhusu upitaji mzuri wa magari.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...