ADV

ADV

ADVERTISEMENT CORNER

HUDUMA YA KUKATA TICKET ZA NDEGE ONLINE


SOMA HABARI

SOMA HABARI

Monday, December 2, 2013

Emmanuel Msuya awa Mshindi wa EBSS 2013.

Mshindi wa EBSS 2013, Emmanuel Msuya akilia kwa furaha baada ya kutangazwa mshindi.
Emmanuel akiwa haamini kama yeye ndiye mshindi wa milioni 50 za EBSS.
...Machozi ya furaha.
...Akiwapungia mashabiki.
Fireworks zilitawala eneo hilo baada ya Emma kutangazwa mshindi.
...Akikabidhiwa kitita cha shilingi milioni 50 kutoka kwa Jaji Mkuu wa shindano hilo, Madam Ritta (kushoto).
Emmanuel akiwa na kitita chake.
Emmanuel akipongezwa baada ya kuibuka mshindi.
Emmanuel Msuya na Elizabeth Mwakijambile baada ya kubaki wawili katika fainali za EBSS 2013.


No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...