JK akamilisha uteuzi majina ya wajumbe Bunge la Katiba
Rais Jakaya Kikwete.
*****
Hatimaye, wajumbe 201 kutoka katika majina ya
wawakilishi 2,722 wa mashirika yasiyokuwa ya kiserikali na taasisi za
kidini yaliyopelekwa Ikulu kwa ajili ya uteuzi wa Rais wa wajumbe wa
Bunge Maalumu la Katiba, wamepatikana.
Wajumbe hao wamepatikana baada ya kazi ya kuchambua majina hayo kufikia tamati.
No comments:
Post a Comment