
Dr Slaa akionyesha kadi za vyama mbalimbali zilizorudishwa na watu walioamua kujiunga na CHADEMA mjini Sumbawanga

Katibu mkuu wa CHADEMA Dr Wilbroad Slaa akihutubia wakazi wa Sumbawanga katika mwendelezo wa Operesheni Pamoja Daima.

Dr Slaa Akihutubia wakazi wa Vwawa.
Katibu Mkuu Dr Wilbrod Slaa akimnadi mgombea Santilia


Dr Slaa akimnadi mgombea mjini Kasanga

Dr Slaa akihutubia wakazi wa Kasanga.Picha Zote na Chadema
No comments:
Post a Comment