


Terry akiteleza kuondosha mpira miguuni mwa Drogba

Terry akigombea mpira wa juu na Drogba

Drogba akijiandaa kubinuka tik tak mbele ya Terry


Drogba akimiliki mpira mbele ya Branislav Ivanovic na Gary Cahill

Drogba akitaniana na Ramires wakati wa mechi

Drogba alipumzishwa na kocha wa Gala, Roberto Mancini kulia mwishoni mwa mchezo

Drogba na Branislav Ivanovic wakizungumza wakati mchezo ukiendelea

Drogba akimkokota Gary Cahill

Drogba (katikati) akimpongeza mfungaji wa bao la Chelsea, Fernando Torres baada ya mechi

Frank Lampard akimpa heshima yake Drogba baada ya mechi

Mashabiki wa Galatasaray wakiwa wameshika bango la Drogba
No comments:
Post a Comment