
Ndani
ya ndege hii "nyumba ya kulala wageni" kuna vyumba 27, unapata
utandawazi,
vumba vina luninga, imesha aanza kuchukwa wageni wa kulala
na ipo karibu na uwanja
wa ndege wa Arlanda airport karibu na mji wa Stockholm, Sweden





Nyumba hiyo ya wageni
ambayo sasa iko tayari kwa biashara imewekwa karibu
na uwanja wa ndege
wa Arlanda airport karibu na mji wa Stockholm, Sweden

Boeing 747-200 na kuibadilisha kuwa nyumba ya wageni

Moja ya chumba katika ndege hiyo


Moja ya chumba cha wageni ambacho kina, flatscreen TV and WiFi


Sehemu ya kupumzikia
No comments:
Post a Comment