Waziri
 Mkuu, Mizengo Pinda  akizungumza na wajumbe wa  Bunge Maalum la Katika 
kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma Februari 19, 2014. Kutoka kushoto 
ni Dominick Lyamchay, Rashid Mtuta, Consitantine Akitanda na  Fahmi 
Fovutwa.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri
 Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba , 
Saidi Mohamed Mtunda (katikati) na Subira Mgalu kwenye viwanja vya Bunge
 Mjini Dodoma  Februari 19,2014.

Waziri
 Mkuu  ambaye pia ni Mjumbe wa Mkutano Maalum wa Bunge la Katiba Mizengo
 Peter Pinda (kushoto) akibadilishana mawazo na wajumbe mwenzake (kulia)
 wa Mkutano wa Bunge Maalum la Katiba jana mjini Dodoma wakati wa 
mapumziko.
Mjumbe
 wa Mkutano wa Bunge Maalum  la Katiba  Joshua Nasari(kushoto) 
akibadilishana mawazo na Mjumbe mwenzie ambaye pia ni Naibu Waziri wa 
Elimu na Mafunzo ya Ufundi Jenista Mhagama(kulia) jana mjini Dodoma 
wakati wa mapumziko.
 Waziri
 Mkuu  ambaye pia ni Mjumbe wa Mkutano Maalum wa Bunge la Katiba Mizengo
 Peter Pinda (kushoto) akibadilishana mawazo na mjumbe mwenzake Said 
Mtanda (kulia) jana mjini Dodoma wakati wa mapumziko.
 Mjumbe
 wa Mkutano wa Bunge Maalum  la Katiba ambaye pia ni Naibu Waziri wa 
Fedha Mwingulu Nchemba (kushoto) akibadilishana mawazo na wajumbe 
mwenzie  Zitto Kabwe(kulia) na Albert mjini Dodoma wakati wa mapumziko.
Wajumbe
 wa Mkutano wa Bunge Maalum la Katiba wakibadilishana mawazo na jana 
mjini Dodoma wakati wa mapumziko.Picha na MAELEZO-Dodoma.
 
 
 
 
 
 






 
 

No comments:
Post a Comment