ADV

ADV

ADVERTISEMENT CORNER

HUDUMA YA KUKATA TICKET ZA NDEGE ONLINE


SOMA HABARI

SOMA HABARI

Saturday, March 15, 2014

BAADA YA KUDAIWA KUA WEMA NA DIAMOND WAMEGOMBANA, WEMA APOST PICHA HII KUASHIRIA HAWAJAACHANA. ACHA MOVIE IENDELEE

https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEh8J5Dio5XlnopqgLBy_ch3Z4nCEwHz-9Ub-h6yE57Ty1QF7rTSVVn6YbzL0YNjm0CnzA6Fmk9AFDsfXJe5b3qktyDNUjXGGQuAE-E4-UrV97_lecVIlqOXTyu7bK_7lkulexVb6SsjeLoP/s1600/WEMANADIAMOND1.jpg 
Wema ameamua kujibu mapigo hayo baada ya kuachia picha ya mpenzi wake huyo akiwa kitandani na alama ya kiss shavuni na kufuatia na ujumbe huu mzito ” Da love of my life…. Dats wat he is…. Our life, our rules…. Sipendi watu wanavyoingilia my love life kabisa…. I am his nd he is mine… dats jus it…. Kama ni mshenzi ndo wangu, tahira wangu, hafai ndo tayari wangu…. Love him jus like dat…. Mapenzi huwa hayaingiliwi hata siku moja…. Nd dey say wapenzi wakigombana chukua jembe ukalime, hawakukosea at all… With all due respect stop ”
diamond-wema bed

Duh! kweli tuache movie iendelee….tusubiri nini kitafuata.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...