
Tuzo za The Woman Of The Year zinatarajiwa kutolewa Jumamosi wiki hii Machi 29, mjini Dodoma kuanzia saa 1:30 usiku ndani ya Ukumbi wa The African Dream. Hafla hii ni kwa wageni waalikwa na waheshimiwa wajumbe wa Bunge la Katiba, mgeni rasmi atakuwa Waziri Mkuu, Mhe. Mizengo Pinda
No comments:
Post a Comment