ADV

ADV

ADVERTISEMENT CORNER

HUDUMA YA KUKATA TICKET ZA NDEGE ONLINE


SOMA HABARI

SOMA HABARI

Wednesday, March 12, 2014

KWAKUTHIBITISHA KWAMBA WAMERUDIANA NA SERENA GOMES,JUSTIN BIEBER AMEPOST VIDEO KWENYE INSTAGRAM WAKIFANYA MAPENZI ITIZAME HAPA





Kinachoonyesha kama ni kuthibitisha kuwa bado anammiliki mwanamziki mwenye miaka 21 Selena Gomes, Justine Beiber amepost video inayowaonyesha wakicheza kimahaba kwa ushirikiano sana na wimbo "Ordinary People" John Legend.

 


Labda wanajaribu kuonyesha kuwa star hao waliokuwa wapenzi wamefanya makosa lakini wameamua kusameheana na kushauri dunia pia isamehe kama aqmbavyo mashairi ya wimbo huo yakisema, ila baada ya mda Bieber ameonekana kuzi-delete clip hizo baada ya kuziweka muda mfupi.

 


Haswa inaonekana ni kama Bieber anajaribu kusambanza ujumbe kwa ma-haters wote wanaochukia kupatana kwao.Bieber na Selena wameonekana sana wakiwa pamoja hivi karibuni kitu kilichosababisha watu kuanza kuzusha kuwa wamerudiana.
 
)

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...