
Picha zilizonaswa na mtambo wa satellite
Serikali
ya Uchina imechapisha picha zilizonaswa na mtambo wake wa satelite
zikionyesha mabaki ya kitu kipana kikielea katika bahari ya Kusini mwa
Uchina.Picha hizo zilipigwa siku ya Jumapili, saa ishirini na nne baada
ya ndege ya abiria ya Malaysia kutoweka ikiwa na abiria 239, lakini
haijabainika ikiwa vifaa hivyo ni vya ndege hiyo.Huku ikiwa na raia wake
154, ambao walikuwa abiria kwenye ndege hiyo ya Malaysia, serikali ya
Uchina imetuma mitambo kumi ya satellite kusaidia katika harakati za
kutafuta ndege hiyo.Picha za vifaa hivyo vitatu, ambavyo moja ina upana
wa takriban mita 24 kwa 22, zilichukuliwa siku ya Jumapili, siku moja tu
baada ya ndege hiyo kupotea, lakini zilichapishwa siku ya Jumatano.

Picha zilizonaswa na mtambo wa satellite
Ubawa wa ndege hiyo iliyopotea ina upana wa mita sitini na moja.
Picha
hizo za satellite zimeweka vifaa hivyo takriban maili mia moja kutoka
kwa njia iliyotarajiwa kutumiwa na ndege hiyo na sio mbali kutoka kwa
kisima kimoja cha mafuta, ambako mfanyakazi mmoja aliripoti kuona kitu
kilichokuwa kikichomeka angani siku ya Jumamosi asubuhi.
Lakini siku chache zilizopita, kumekuwa na fununu kadhaa kuhusiana hatma ya ndege hiyo lakini zote zimekuwa uongo.
Makundi
ya uokozi hiyo vile vile wanatafuta mabaki ya ndege hiyo katika maji
inayokaribiana na rasi ya Malaysia, kwa sababu wanaamini kuwa ndege hiyo
ya Malaysia ilibadili mkondo na kuelekea Magharibi.

Picha zilizonaswa na mtambo wa satellite

Wahadhiri wa vyuo vya umma wagoma Kenya

Wahadhiri wanadai kulipwa nyongeza ya mishahara
Mafunzo katika vyuo vikuu vya umma nchini Kenya yameathirika baada ya wahadhiri wa vyuo kuanza rasmi mgomo wa kitaifa.
Wahadhiri hao wamekiuka agizo la mahakama na kutogoma na kuamua kugoma.Mgomo huo unajiri wakati serikali ya Kenya imewataka wafanyikazi wa serikali kukubali mishahara yao kupunguzwa hasa baada ya Rais Uhuru Kenyatta na Naibu wake William Ruto pamoja na baraza la mawaziri kupunguza mishahara yao kutokana nagharama kubwa ya matumizi ya serikali.
Zaidi ya wafanyakazi 30,000 wa vyo vikuu wameanza kususia kazi baada ya waziri wa elimu kukosa kufikia makubaliano ya kusitisha mgomo huo ambapo wahadhri wanadai shilingi bilioni 3.9 kati ya wahadhiri na wakuu wa vyuo hivyo.
Kwa sasa idadi ya wanafunzi ambao watakosa mafunzo ni kati ya 200,000 na 300,000, ikiwa serikali haitaleta suluhu.
Mkutano wa awali kati ya waziri wa elimu na makatibu wake wawili, haukuzaa matunda.
Kiini cha mgogoro huo ni malipo ya awamu ya pili ya shilingi bilioni 7.8 ya nyongeza ya mishahara ambayo iliafikiwa mwaka 2012.
Pesa hizo zilipaswa kulipwa kwa awamu, huku nusu ya pesa hizo zikilipwa Disemba mwaka 2012.
Bunge la Libya lamuondoa madarakani Waziri Mkuu

Meli inayoidaiwa kutokomea
Bunge la Libya limemuengua madarakani Waziri Mkuu wa nchi hiyo Ali Zeidan, baada ya vikosi vya nchi hiyo kushindwa kuzuia kutoroka kwa meli iliyokuwa imebeba shehena ya mafuta huku ikipeperusha bendera ya Korea ya Kaskazini. Jumla ya wabunge 124 kati ya 194 waliohudhuria bungeni Jumanne ya jana waliidhinisha kura ya kutokuwa na imani kwa wingi wa kura zaidi ya kiwango kinachotakikana na hivyo kuweza kumuondoa madarakani Waziri Mkuu wa nchi hiyo Ali Zeidan.
Wakati huohuo bunge hilo la Libya limemteuwa Waziri wa Ulinzi Abdullah al Thani kuwa Waziri Mkuu wa Mpito, na hivyo bunge hilo kuwa na muda wa wiki mbili wa kutafuta shakhsia mwingine atakayechukua nafasi ya Zeidan. Itafahamika kuwa, wanamgambo wanaoidhibiti bandari ya Sedra huko mashariki mwa Libya, Jumamosi wiki hii walipakia mafuta kwenye meli hiyo iliyokuwa na bendera ya Korea ya Kaskazini kwa jina la "Morning Glory" ambayo ilitia nanga kwenye bandari hiyo bila ya kibali cha serikali.
Chanzo, tehranswahili.com
TAZAMA PICHA ZA TEMBO HUYU MWENYE HASIRA KALI ALIVYO MTANDIKA KIBOKO
Hivi
unajua wewe kila siku nakuangalia tuu..... sasa leo nitakuonesha kazi
....... ni kama huyu Tembo alikuwa akiyasema maneno haya.
"
Hapa kimenuka asije nigeuzia na mimi Kibao maana dah maza anapewa
kichapo cha hatari" Ni kama mtoto Kiboko alikuwa akiondoka huku
anatingisha kichwa.

"
Sasa nakwambia ondokaa fastaa ..... ukiendelea kubaki nakuanzishia kama
mwanzo" Tembo huyu alionekana kama anamwambia Kiboko huyo.

"Tena
waambie na hao viboko wenzako nitawatandika ..... " alionekana kama
anamwambia kiboko yule aliyekuwa akimpiga "Kimbieni nyiee .....
kimbieniiiii..... atawamaliza! !"

Hapa kichapo tuu......
Dah hiiii ilikuwa ni kashesheee......
BY KEITH HERMAN
UEFA CHAMPIONS LEAGUE:::BARCELONA WAITOA MANCHESTER CITY KWA JUMLA YA MAGOLI 4 KWA 1
Nobody
expected Manchester City to be in the quarter-finals of the Champions
League anyway. The ramifications of this match, however, could be
unfolding long after the night itself is forgotten.
If
Sergio Aguero has, as feared, suffered a recurrence of his hamstring
injury, it could have serious consequences for the title race. Pablo Zabaleta’s red card may remove him from a significant portion of early Champions League matches next season, if UEFA decide he made contact with match referee Stephane Lannoy during a stupidly furious protest.
Up in the stands, Manuel Pellegrini’s head dropped into his hands.
He will still be serving a touchline ban when this competition recommences next season; providing he remains Manchester City manager, that is.

Jubilant: Lionel Messi celebrates with his team-mates after giving the hosts the lead on the night

Dink: Messi slips the ball over Joe Hart to give Barcelona a 3-0 aggregate lead

Thanks: Messi celebrates in front of the Nou Camp crowd after his opening goal

Off you go: Pablo Zabaleta was sent off for a second booking for disputing a penalty appeal with the referee

Down and out: City crashed out 4-1 on aggregate, and had two player sent off over both legs

Gutted: Edin Dzeko and his team-mates look dejected after conceding the opening goal

Winner: Alves blasts home for the winning goal on the night past Joe Hart

Rough and tumble: Substitute Dzeko is roughly handled by Pique at the Nou Camp
City enjoyed moments of brightness here, but a 4-1 aggregate defeat by what Jose Mourinho regards as the worst Barcelona team in recent memory is hardly confidence-building.
Mourinho wasn’t alone in thinking this was a tie in which City might come of age. Instead it has ended in defeat and no little dishonour, if UEFA throw the book at Zabaleta, having already banned his manager.
City are hardly Michel Platini’s favourites as it is.
So what went wrong? Basically, it is hard to win the toughest competition in Europe with one competent centre half and that has been Manchester City’s mission.
With Martin Demichelis banned for the second leg, Joleon Lescott stepped up as Vincent Kompany’s partner, and one presumes he will be stepping down once an adequate replacement is found.
He was lucky not to be booked for a foul on Lionel Messi after six minutes, lucky not to concede a penalty to him soon after.
City should have been a goal behind in the first half when Lannoy disallowed one from Neymar that should have stood, and when Lescott got in a tangle from a Cesc Fabregas pass on 67 minutes, the rest was history. As were Manchester City.

Mishap: Lescott's mistake inside the area led to the opening goal for Messi

Friends reunited: Yaya Toure hugs former team-mate Messi at the final whistle

No say: Man City's manager Manuel Pellegrini looked on from the stands as he serves his touchline ban

Great chance: Pablo Zableta looks furious with himself after missing an opportunity after half-time
Another record for Messi
Lionel Messi has overtaken Raul as the top Champions League scorer with a single club...
1 Messi 67
2 Raul 66
3 Cristiano Ronaldo 46
(Raul scored five goals with Schalke so remains top overall)
1 Messi 67
2 Raul 66
3 Cristiano Ronaldo 46
(Raul scored five goals with Schalke so remains top overall)
The Fabregas pass, straight, eye of the needle in its ambition, bamboozled him, the ball bouncing off his feet and ankles as if connected by a rubber band. It found its way to Messi, who made the score 3-0 on aggregate. The tie was over, and at terrible cost.
The great ones usually have a trademark and for Messi it is that little dink he plays, one on one.

Down the throat: Samir Nasri had City's best chance in the first half, but his half-volley was saved by Valdes

Floored: Manchester City's Aleksandar Kolarov falls in front of Daniel Alves

Finished it off: Alves smashes home in injury time past three City players on the line

Behind him: Barcelona goalkeeper Victor Valdes celebrates Dani Alves' goal
Mamlaka
za kipolisi jijini New York, zimethibitisha kuwa watu wawili wamepoteza
maisha ndani ya moja ya nyumba vilivyokuwa katika jengo moja la ghorofa
ambalo limeanguka leo hii.
Vituo vya habari katika eneo hilo vimetoa ripoti zenye kueleza pia kuwa
kuna watu wapatao 11 ambao wameonekana kuwa na majeraha kadhaa kutokana
na tukio hilo ambalo wenyeji wa maeneo hayo wameeleza kuwa limetokana
na kitu kama mlipuko.
"Taarifa toka kwa wenyeji wa eneo hili zinaonyesha kuwa kulisikika kitu
kama mlipuko kwanza katika mtaa huu wa 116, kabla ya jengo kuanza
kuporomoka" ameeleza msemaji mmoja wa serikali jijini hapo.
Safari za treni katika eneo hilo zilisitishwa mara moja, huku pia
vikosi vya usalama vikiliweka eneo hilo chini ya karantini huku takriban
wafanyakazi 168 wa kwenye vituo vya nishati vilivyo katika maeneo ya
jirani wakiwa wameondolewa katika maeneo yao ya kazi.
Aidha, kampuni moja ya kutoa huduma za kusambaza gesi katika maeneo
hayo, imeamuriwa kufunga huduma zake haraka iwezekanavyo, ili kuepusha
majanga zaidi hii ikitokana na ukweli kuwa, kulisikika mlipuko mkubwa
toka katika moja ya vyumba kwenye jengo hilo.
Raia mmoja ameeleza kuwa, amekuwa akisikia harufu ya gesi kila
alipopita mahali hapo, kwa takriban wiki moja kabla ya tukio hili.
"Tuliona watu wakirushwa kutokea madirishani, hawa walikuwa majirani
zangu, na kwa ujumla kishindo kilikuwa kikubwa sana kama bomu vile, na
kilitetemesha jengo zima" ameeleza shuhuda mmoja, ambaye aliungwa mkono
na shuhuda mwingine alyesema hali haikuwa tofauti na ilivyokuwa wakati
wa tukio la kulipuliwa kwa majengo pacha kwenye sakata la September 11











No comments:
Post a Comment