Makamu wa Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akifungua mkutano wa
Wafanyabiashara na Wawekezaji kati ya Israel na Tanzania, katika ukumbi
wa Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam, leo Machi 17, 2014

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akipongezwa na Naibu
Waziri wa Viwanda na Biashara, Janeth Mbene, baada ya kufungua rasmi
mkutano wa Wafanyabiashara na Wawekezaji kati ya Israel na Tanzania,
katika ukumbi wa Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam, leo Machi 17,
2014. Kulia ni Mwenyekiti wa Makampuni ya IPP, Regnald Mengi (wa pili
kulia) ni Mwakilishi wa Ubalozi wa Israel kwa nchi za Tanzania, Kenya
Uganda na Seychells, Gilad Millo.

Baadhi ya washiriki wa mkutano huo
wakimsikiliza kwa makini Makamu wa Rais Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
wakati alipokuwa akiwahutubia ukumbini humo.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed
Gharib Bilal, akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya washiriki wa
mkutano huo.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiondoka ukumbini
baada ya kufungua rasmi mkutano wa Wafanyabiashara na Wawekezaji kati ya
Israel na Tanzania, katika ukumbi wa Mwalimu Nyerere jijini Dar es
Salaam, leo Machi 17, 2014.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimina na Makamu Mwenyekiti wa CCM Tanzania Bara, Phillip Mangula, ambaye pia alikuwa ni miongoni mwa washiriki wa mkutano huo, mara baada ya kufungua mkutano huo leo kweny Ukumbi wa Mwalimu Nyerere. Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais

No comments:
Post a Comment