
WASANII watatu wakongwe na maarufu wa muziki wa Bongo Fleva nchini, Juma Mchopanga ‘Jay Moe’, Juma Kassim ‘Nature’ na Joseph Haule ‘Profesa Jay’ wamerekodi kwa pamoja wimbo uitwao JWTZ.
Wimbo huo umerekodiwa kwa sauti na video katika studio za Williamz Visions chini ya mtayarishaji Mike Mwakatundu ‘Mike T’
No comments:
Post a Comment