Majengo mawili yameporomoka New York Marekani ambapo mpaka sasa imetoka ripoti ya watu wawili kufariki na
wengine kutoonekana huku 18 wakijeruhiwa na wanne wakikimbizwa hospitali.
Chanzo cha majengo hayo
kuporomoka ni mlipuko uliotokana na kuvuja kwa gesi ambapo askari wa
zimamoto wakiwa na vifaa vya kisasa wako kwenye eneo la tukio kuendelea
kuzima moto.








No comments:
Post a Comment