Rais
wa Colombia, Juan Manuel Santos amezindua kampeni ya uchaguzi wa Urais
kwenye jiji la Barranquilla, lakini wakati akihutubia, janga
likamtokea.Rais huyo alikuwa akihutubia kwa mzuka kabla ya kujikojolea
hadharani na kila mtu akiona japo hakusitisha hotuba hiyo. Video yake
imekuwa maarufu tayari mtandaoni.
Hata hivyo Rais huyo amekanusha kuwa na matatizo ya kiafya. Ametumia mtandao wa Twitter kuwashakuru wananchi wa Colombia kwa kumuelewa licha ya aibu hiyo.
Rais huyo mwenye miaka 62 aliwahi kufanyiwa upasuaji kutokana na saratani korodani (prostate cancer).

TAZAMA VIDOE HAPA

No comments:
Post a Comment