Sitta achukua fomu ya kugombea Uenyekiti wa Bunge la Katiba
Mgombea
Uenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba Samuel Sitta akipokea Fomu kutoka
kwa Ofisa wa Bunge Bi. Lidya Mwaipyana. Katikati ni Mjumbe wa Bunge
Maalum la Katiba na Mbunge wa Nzega, Dk Hamisi Kigwangala.
Mhe. Sitta
akionesha fomu aliyochukua leo. Kushoto ni Mhe. Dk Kigwangala na kulia
ni Mjumbe wa Bunge hilo Bw. Paul Makonda.
No comments:
Post a Comment