TAZAMA VIDEO IKIMUONESHA SAMWEL ET'OO AKICHEZA NA KUGAWA PESA KAMA PEDESHEE KATIKA MUZIKI WA DANSI...!!
Video hii inamuonesha
Mcheza mpira wa klabu ya Chelsea ya Uingereza akisakata muziki wa sebene
na kuanza kumwaga mapesa kama pedeshee wa kibongo wanavyofanya. Tazama
video hiyo hapo chini uone jinsi alivyokuwa akisakata muziki.
No comments:
Post a Comment