Arsenal
wamefanikiwa kuwasainisha mikataba mipya Santi Carzorla na Aaron Ramsey
na Kumpandisha chipkizi Gedion Zelalem kuwa mchezaji wakulipwa
Santi Carzola raia wa Hispania mwenye umri wa miaka 29 amesaini mkataba wamiezi 12 ambao atakuwa analipwa £80,000 kwa wiki
Aaron Ramsey raiya wa Uingereza amesaini mkataba wa miaka 5 nae atakuwa akilipwa £90,000 kwa wiki

All smiles: Ramsey amepost picha hii kwenye account yake ya Instagram baada ya kusaini mkataba mpya

Signing on: Arsenal's Aaron Ramsey has extended his deal at The Emirates

Going nowhere: Spanish midfielder Santi Cazorla (left) has signed an improved deal to stay at Arsenal

Zelalem
mwenye umri wamiaka 17 amepandishwa kwenye timu ya wakubwa nakupewa
mkataba wa kwanza wa miaka 5 na kuwa mchezaji wa kulipwa

Backing: Wenger believes that 17-year-old Zelalem has the potential to forge a successful career with the Gunners
No comments:
Post a Comment