ADV

ADV

ADVERTISEMENT CORNER

HUDUMA YA KUKATA TICKET ZA NDEGE ONLINE

SOMA HABARI

SOMA HABARI

Thursday, April 10, 2014

ANGALIA NAFASI MPYA ZA KAZI KUTOKA TANAPA

8.0     MHIFADHI WANYAMAPORI DARAJA LA III – (NAFASI 100)
Nafasi hizi ni kwa ajili ya Katibu Mkuu Wizara ya Maliasili na Utalii.
8.1 MAJUKUMU YA KAZI
·         Kufanya doria ndani na nje ya maeneo ya hifadhi
·         Kudhibiti vitendo vya ujangili nje na ndani ya hifadhi
·         Kusimamia shughuli za uwindaji wa kitalii na utalii wa picha
·         Kulinda binadamu na mali zake dhidi ya Wanyamapori
·         Kukusanya na kulinda Nyara za Serikali
·         Kufanya usafi naulinzi wa kambi
·         Kusimamia uingiaji na utokaji wa watu na mali zao kwenye hifadhi
·         Kukusanya na kutunza vielelezo vya ushahidi na kutoa ushahidi Mahakamani
·         Kukagua wanyamapori kwenye mashamba na mazizi ya wanyamapori na kukusanya takwimu zao

·         Kusimamia taratibu za kusafirisha wanyamapori hai na nyara nje na ndani ya Nchi
·         Kudhibiti wanyamapori waharibifu

·         Kudhibiti moto kwenye hifadhi
·         Kufanya kazi nyingine atakazopangiwa zinazoendana na taaluma yake
8.2 SIFA ZA MWOMBAJI

·         Kuajiriwa wahitimu wa kidato cha IV au kidato cha VI wenye Astashahada ya Uhifadhi Wanyamapori (Technician Certificate in Wildlife Management) kutoka Chuo cha Taaluma ya Wanyamapori Pasiansi au chuo kingine kinachotambuliwa na Serikali.
8.3 MSHAHARA
Kwa kuzingatia Ngazi za mishahara ya Serikali yaani TGS B2 kwa mwezi.
9.0     MHIFADHI WANYAMAPORI DARAJA LA III – (NAFASI 327)
Nafasi hizi ni kwa ajili ya Katibu Mkuu Wizara ya Maliasili na Utalii.
9.1 MAJUKUMU YA KAZI

·         Kufanya doria ndani na nje ya maeneo ya hifadhi

·         Kudhibiti vitendo vya ujangili nje na ndani ya hifadhi

·         Kusimamia shughuli za uwindaji wa kitalii na utalii wa picha

·         Kulinda binadamu na mali zake dhidi ya Wanyamapori

·         Kukusanya na kulinda Nyara za Serikali

·         Kufanya usafi na ulinzi wa kambi

·         Kusimamia uingiaji na utokaji wa watu na mali zao kwenye hifadhi

·         Kukusanya na kutunza vielelezo vya ushahidi na kutoa ushahidi Mahakamani

·         Kukagua wanyamapori kwenye mashamba na mazizi ya wanyamapori na kukusanya takwimu zao

·         Kusimamia taratibu za kusafirisha wanyamapori hai na nyara nje na ndani ya Nchi
·         Kudhibiti wanyamapori waharibifu
·         Kudhibiti moto kwenye hifadhi
·         Kufanya kazi nyingine atakazopangiwa zinazoendana na taaluma yake
9.2 SIFA ZA MWOMBAJI

·         Kuajiriwa wahitimu wa kidato cha IV au kidato cha VI wenye Astashahada ya Awali ya Uhifadhi wa Wanyamapori (Basic Technician Certificate in Wildlife Management) kutoka Chuo cha Taaluma ya Wanyamapori Pasiansi au chuo kingine kinachotambuliwa na Serikali.
9.3 MSHAHARA

Kwa kuzingatia Ngazi za mishahara ya Serikali yaani TGS B1 kwa mwezi

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...