ADV

ADV

ADVERTISEMENT CORNER

HUDUMA YA KUKATA TICKET ZA NDEGE ONLINE


SOMA HABARI

SOMA HABARI

Friday, May 23, 2014

AJIFUNGUA WATOTO WANNE AOMBA MSAADA


Mkaazi wa kunduchi Beachi  katika manispaa ya kinondoni  jijini Dar es salaa Riziki Daudi amejifungua watoto  alipojifungua kwa njia ya upasuaji wiki iliyopita katika hospitali ya Taifa muhimbili  kutopkana kuwa maisha magumu anaomba wasamaria wema kumsaidia kwa hali  na mali kutoka hali yake hususani nguo za watoto apamoja na misaada mingine  watoto hao wanatunzwa katika chumba maalum katika jengo la wazazi alikuwa anaomba kwa wale watakao gusa na tatizo hilo kuwasiliana na namba za simu 0783717648 ya Hadija Abeid na 0717 365040 ya Thuwaiba mohamed au   wadau naomba tumsaidie kwa kusambaza vyombo vyenu  
RIZIKI DAUD AKIWA KATIKA HOSPITALI YA MUHIMBILI WADI YA WAZAZI

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...