Kampeni
ya #bringBackOurGirls imeonekena kugusa hisia za watu wengi hali
iliyopelekea kuungwa mkono na watu mbalimbali mashuhuri hasa wale
wanaojua uchungu wa mwana akiwemo mke wa Rais wa Marekani Michelle
Obama, pamoja na wanamuziki kama vile LudaCris, John Legend, Naomi Campbell, Jamie Foxy, Drake, Justine TimberLake, Alicia Keys, 2Face na wengine kibao.Kwa huzuni kabisa, mastaa waliotajwa hapo juu waliweza kuweka ujumbe kwenye akaunti na kurasa wanazomiliki za kwenye mitandao ya kijamii wakitaka kuachiliwa huru kwa wanafunzi wa kike 234 wa shule ya bweni ya Chibok ambao waliotekwa na wanamgambo wa kundi la Boko Haram yapata wiki mbili zilizopita katika jimbo la Borno nchini Nigeria.
”Our prayers are with the missing Nigerian girls and their families. It’s time to
2Face Idibia





No comments:
Post a Comment