ADV

ADV

ADVERTISEMENT CORNER

HUDUMA YA KUKATA TICKET ZA NDEGE ONLINE


SOMA HABARI

SOMA HABARI

Wednesday, June 18, 2014

HOT NEWSS:::MAJINA YA WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA TANO NA SHULE WALIZOPANGIWA


 


Hatimae Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi nchini, imetoa  majina ya wanafunzi ambao wamechaguliwa kujiunga na shule mbalimbali kwa ajili ya kuendelea na elimu ya sekondari kidato cha tano, sanjari na vyuo mwaka 2014.

Orodha hiyo imetangazwa jijini Dar es salaam tarehe 17/06/2014, ambapo idadi ya wasichana waliochaguliwa kwa nafasi hizo ni 9,378, waliochaguliwa katika machaguo 13 ya masomo mbalimbali ya kidato cha tano na masomo 11 ya vyuo vya ufundi.

Shule zilizopangiwa wanafunzi ni 201, ambapo shule za wasichana pekee ni 61, huku shule 34 zikiwa za jinsia zote mbili, wasichana na wavulana.

Idadi ya wanafunzi wavulana waliochaguliwa katika machaguo 13 ya masomo mbalimbali ya ngazi hiyo, ni 22,138.

WASICHANA-SHULE-ZOTE
WAVULANA-MAJINA-YA-SHULE-A-mpaka-L
WAVULANA-MAJINA-YA-SHULE-M-mpaka-Z

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...