ADV

ADV

ADVERTISEMENT CORNER

HUDUMA YA KUKATA TICKET ZA NDEGE ONLINE


SOMA HABARI

SOMA HABARI

Friday, August 22, 2014

RAIS KIKWETE ASAFIRI KWA TRENI YA TAZARA KATIKA ZIARA YAKE YA MKOA WA MOROGORO


 Rais Jakaya Mrisho Kikwete na ×Mama Salma Kikwete wakiwasili katika kituo cha ×Kisaki baada ya kusafiri kwa treni katika ziara yake ya ×Mkoa wa Morogoro.
 Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akipanda treni ya TAZARA kuelekea ×Kisaki Mkoani Morogoro akiwa katika ziara yake ya mkoa huo.
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete na ×Mama Salma Kikwete wakipanda treni ya TAZARA kuelekea ×Kisaki Mkoani Morogoro akiwa katika ziara yake ya mkoa huo.


 Mkuu wa ×Mkoa wa Morogoro Mhe Joel Bendera, Mbunge wa Morogoro Kusini  Mhe Innocent Kalogeris na KAtibu wa Rais Bw. Prosper Mbena wakiongea ndani ya behewa maalum la VIP la treni la TAZARA wakati wa safari ya ×Rais Kikwete kuelekea Kisaki mkoani Morogoro.
 Mama Salma Kikwete, Waziri wa Ujenzi Dkt John Pombe Magufuli, Mkurugenzi Mkuu wa TAZARA Bw. Ronald Phiri (kulia) na viongozi wengine ndani ya behewa maalum la VIP la treni la TAZARA wakati wa safari ya ×Rais Kikwete kuelekea Kisaki katika ziara yake ya mkoa wa  Morogoro.
BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI»
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa ndani ya behewa maalum la VIP la treni la TAZARA wakati wa safari ya ×Rais Kikwete kuelekea Kisaki katika ziara yake ya mkoa wa  Morogoro.
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipokea kutoka kwa ×Mkurugenzi Mkuu wa TAZARA Bw. Ronald Phiri zawadi ya picha ya jengo la makao makuu ya TAZARA akiwa ndani ya behewa maalum la VIP la treni la TAZARA wakati wa safari ya ×Rais Kikwete kuelekea Kisaki katika ziara yake ya mkoa wa  Morogoro.
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete na ×Mama Salma Kikwete wakiwa na viongozi wengine ndani ya behewa maalum la VIP la treni la TAZARA wakati wa safari ya ×Rais Kikwete kuelekea Kisaki katika ziara yake ya mkoa wa  Morogoro.
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete na ×Mama Salma Kikwete wakiwasili katika kituo cha ×Kisaki baada ya kusafiri kwa treni katika ziara yake ya ×Mkoa wa Morogoro.
 Baadhi ya wananchi waliojitokeza kumlaki Rais.
 Rais Jakaya, akipunga mkono kuwasalimia wananchi....
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete na ×Mama Salma Kikwete wakilakiwa na umati mkubwa wa watu baada ya kuwasili katika kituo cha ×Kisaki baada ya kusafiri kwa treni katika ziara yake ya ×Mkoa wa Morogoro.

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimsikiliza Waziri wa Ujenzi Dkt John Magufuli akitoa maelezo ya maendeleo ya ujenzi wa miundombinu mbalimbali katika mkoa wa Morogoro. PICHA NA IKULU

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...