ADV

ADV

ADVERTISEMENT CORNER

HUDUMA YA KUKATA TICKET ZA NDEGE ONLINE


SOMA HABARI

SOMA HABARI

Thursday, August 28, 2014

Video mpya ya Victoria Kimani feat.Diamond Platnumz&Ommy Dimpoz Prokoto


kimani
Audio ya wimbo huu umefanywa hapa hapa ×Tanzania na producer wa ×Kitanzania anaitwa Tudd Thomas ambaye ni mkali aliyetengeneza hit single kadhaa za wasanii mbalimbali ikiwemo singo ya ×Ndagushima ya Ommy Dimpoz na ×Mdogo Mdogo ya Diamond Platnumz.

kimn
Hapa kashiriki kuutengeneza wimbo huu kutoka kwa mwanadada anaewakilisha 254 Victoria Kimani,hii single inaitwa ×Prokoto ambapo upande wa audio imetolewa miezi michache iliyopita.



kiman
Video imefanywa na ×Director kutoka Kenya Kevin Bosco Jnr ambaye kwa taarifa fupi ni kwamba ameshiriki pia kutengeneza video ya ×Mtanzania Ney wa Mitego ya Mr. Ney ambayo bado haijatoka.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...