Hivi inakuwaje mtu unampiga mwenzako kiasi hiki? Kwa kosa lipi haswa
jamani? Dah!!! Hivi hakuna njia mbadala ya kutatua tatizo zaidi ya
kipigo?? Wanawake tuamke tusikubali abuse ya namna hii no matter how
much unampenda mtu but usikubali kufanywa punching bag ya mtu. Likewise kwenu wanaume msikubali kunyanyaswa na wake zenu. #SayNoToDomesticViolence
No comments:
Post a Comment