Komandoo Sidhee
Bahadurkatuwal (kulia) kutoka Nepal akionesha nyumba ya Mrwanda
aliyokuwa akiilinda kupitia kampuni ya Ulinzi ya Advanced Security
karibu na Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, Dar es
Salaam, akiwa na makomandoo wenzake kutoka Nepal,
Maofisa wa Uhamiaji
wakimhoji mama wa kitanzania aliyeolewa na mnyarwanda ambao nyumba yao
ilikuwa ikilindwa na Komandoo kutoka Nepal
Baadhi ya makomandoo wa kijeshi kutoka Nepal wakiwa wamevalia sare ya Kampuni ya Ulinzi ya Advanced katika nyumba hiyo.
No comments:
Post a Comment