![]() |
Mbunge wa Nzega CCM Dr. Hamis Kigwangalla, akitangaza rasmi nia yake ya kugombea ×Urais kupitia tiketi ya CCM mwakani 2015 amesema kutokea kuuza karanga na biggee mtaani mpaka kuwa ×Doctor Mbunge na Kiongozi wa CCM Taifa na kufikia na ndoto ya kutegemea kugombea ×Urais ina maana moja tu kwamba sera za CCM zina tija kwa ×Taifa na wananchi wake na yeye ni mfano wa kwanza mkubwa wa kuaminiwa kwamba sera hizo zinajali usawa kwa wananchi kwani pamoja na kupitia yote aliyopitia bado anaweza kutuhubutu kugombea ×Urais wa Tanzania kwa kukubaliwa na kuruhusiwa kikatiba na chama chake CCM na kuruhusiwa kisheria na ×Sheria za Jamhuri ya Tanzania. |
No comments:
Post a Comment