NYUMBANI
NAFASI ZA KAZI
MSAADA WA ELIMU
JOIN US
GOLDEN STATIONARY
INTERNET CAFE
GX100 DESIGNS
ADV
ADVERTISEMENT CORNER
HUDUMA YA KUKATA TICKET ZA NDEGE ONLINE
Subscribe our Feed
Follow me on Twitter
Find me on Facebook
Join me on Google+
Connect with LinkedIn
SOMA HABARI
Wednesday, September 10, 2014
MKUTANO WA BAVICHA WAFANYIKA.
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe akitoka katika Ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam, baada ya kufungua Mkutano Mkuu wa Baraza la Vijana la chama hicho. (Picha zote na Francis Dande)
Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe (wa pili kulia) akiwaongozi wajumbe wa Mkutano Mkuu wa Baraza la Vijana Chadema kuimba wimbo wa taifa wakati wa mkutano huo.
Mwenyekiti wa Baraza la Vijana la Chadema (Bavicha), ambaye amemaliza muda wake, John Heche akizungumza wakati wa mkutano mkuu wa baraza hilo.
Baadhi ya watu wakinunua fulana za Chadema wakati wa Mkutano Mkuu wa Bavicha.
Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa Baraza la Vijana Chadema wakiwa katika mkutano huo.
Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa Baraza la Vijana Chadema wakiwa katika mkutano huo.
No comments:
Post a Comment
Newer Post
Older Post
Home
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment