ADV

ADV

ADVERTISEMENT CORNER

HUDUMA YA KUKATA TICKET ZA NDEGE ONLINE


SOMA HABARI

SOMA HABARI

Saturday, September 13, 2014

Mwigizaji JB atia fora katika uzinduzi wa ripoti ya benki ya dunia kuhusu ajira zenye tija tanzania




 Mwigizaji nyota wa filamu nchini Steven Jacob a.k.a JB "akitema yai"  wakati akitoa mada yake kwenye  wa uzinduzi wa Ripoti ya Benki ya Dunia Kuhusu ajiora Zenye Tija Tanzania  Septemba 12, 2014 katika hoteli ya Hyatt regency kilimanjaro


 Rais Kikwete akimpongeza mwigizaji nyota wa filamu nchini Steven Jacob a.k.a JB kwa kutoa mada yake vyema wakati wa uzinduzi wa Ripoti ya Benki ya Dunia Kuhusu ajiora Zenye Tija Tanzania  Septemba 12, 2014 katika hoteli ya Hyatt regency kilimanjaro


 Mwigizaji nyota wa filamu nchini Steven Jacob a.k.a JB akisalimiana na Bi Sri Mulyani Indrawati baada ya kutoa mada yake katika  uzinduzi wa Ripoti ya Benki ya Dunia Kuhusu ajiora Zenye Tija Tanzania  Septemba 12, 2014 katika hoteli ya Hyatt regency kilimanjaro




 Rais Kikwete akiendelea kumpongeza mwigizaji nyota wa filamu nchini Steven Jacob a.k.a JB kwa kutoa mada yake vyema wakati wa uzinduzi wa Ripoti ya Benki ya Dunia Kuhusu ajiora Zenye Tija Tanzania  Septemba 12, 2014 katika hoteli ya Hyatt regency kilimanjaro.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...