Waumini wa Jumaiya ya kiIslamu, Tanzanian Muslim Community Washington DC wakipata picha ya pamoja baada ya kumaliza sala ya Eid Al-Adhw-haa, iliosaliwa  mapema asubuhi ya saa Moja Nanusu ya Siku ya Jumanne Oct 4, 2014 Msikiti wa Islamic Center New Hampshire Maryland US.( Picha zote na swahilivilla.blogspot.com)
IMG_8318
Nchini Uingereza: Waumini wa wakiwa katika× Sala sala ya Eid Al Hajj, iliosaliwa Siku yaJumanne Oct 4, 2014  Coventry Nchini Uingereza
Nawao pia hawakukanyuma baadhi ya kina× Dada wa Tanzanian Muslim Community Washington DC wakipata picha ya pamoja maraa tu baada ya kumaliza sala ya Eid Al Hajj, iliosaliwa× Siku ya Jumanne Oct 4, 2014 katika× Msikiti wa Islamic Center Uliopo maeneo ya× Maryland nchini Marekani.
Waumini waTanzania nchini× India wakipata picha ya pamoja maraa tu baada ya kumaliza sala ya Eid Al Hajj, iliosaliwa× Siku ya Jumanne Oct 4, 2014
Dj Moody akipata picha ya pamoja na× Shatry pamoja na Cheif wa swahilivilla× Blog mara tu baada ya kusali sala ya Eid Al-Adhw-haa iliosaliwa× Siku ya Jumanne Oct 4, 2014 Msikiti wa Islamic Center New Hampshire Maryland U.S.
Muazilishi wa Hilmy Disability Charity Organisation Faria Zam a.k.a ( Ferry Butcher) akipata picha ya pamoja na× Waumini wa Coventy Way Hansloe, Nchini Uingereza mara tu baada ya kumaliza kusali× Sala ya Eid Al Hajj.