ADV

ADV

ADVERTISEMENT CORNER

HUDUMA YA KUKATA TICKET ZA NDEGE ONLINE


SOMA HABARI

SOMA HABARI

Wednesday, November 26, 2014

AJALI MBAYA YA MOTO MPAKANI MWA ZAMBIA NA KONGO


Magari makubwa yakiwaka moto baada ya moto huo kuzuka maeneo ya Kasumbalesa, mpakani mwa Zambia na Kongo. Picha tofauti juu zikionesha baadhi ya majeruhi wa ajali hiyo ya moto.
AJALI mbaya ya moto imetokea jana majira ya saa kumi na moja jioni maeneo ya Kasumbalesa, mpakani mwa Zambia na Kongo baada ya lori moja kulipuka kwa moto na kuchoma…
Magari makubwa yakiwaka moto baada ya moto huo kuzuka maeneo ya Kasumbalesa, mpakani mwa Zambia na Kongo.Picha tofauti juu zikionesha baadhi ya majeruhi wa ajali hiyo ya moto.
AJALI mbaya ya moto imetokea jana majira ya saa kumi na moja jioni maeneo ya Kasumbalesa, mpakani mwa Zambia na Kongo baada ya lori moja kulipuka kwa moto na kuchoma malori mengine yaliyokuwa jirani yake. Inadaiwa magari mengi yameungua yakiwemo kutoka Tanzania japo idadi kamili ya maafa yaliyotokana na ajali hiyo bado hayajafahamika.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...