ADV

ADV

ADVERTISEMENT CORNER

HUDUMA YA KUKATA TICKET ZA NDEGE ONLINE


SOMA HABARI

SOMA HABARI

Saturday, January 31, 2015

Wapiganaji wa Kikurd watangaza kuukomboa mji wa Koban

Wapiganaji zaidi ya 1500 wanaotoka nchi mbalimbali duniani walijiunga na wanamgambo wa kiislam (ISIS) kwa ajili ya kupigana ili kuunda dola la kiislam huko Iraq na Syria. Vijana wengi wasomi na wenye maisha yao mazuri hasa kutoka nchi za Magharibi na Marekani walijiunga na kundi la IS. wengi wao walienda bila kujua kama wangeweza kuuwawa. Wengi wamekata tamaa na kutaka kurudi lakini wapiganaji wa IS wanawauwa wapiganaji wanaogundilika kutaka kurejea makwao. Katika Mji wa Kobane pekee, wapiganaji wa IS zaidi ya 1500 wameuwawa na sasa wameukimbia mji huo ambao ulionekana kuwa mji muhimu sana kwa IS ukizingatia vita vilikuwa vinapiganwa wakati kamera karibu sote za vituo vikuu vya habari duniani vikiwa vinamulika kutokea mpakani upande wa Uturuki.

Kurdish fighters killed more than 20 ISIS militants during continued fighting in the villages around Kobane which was liberated earlier this week after months of bitter street fighting. In one village, a Kurd was today pictured standing over the bodies of Islamic extremists after they were killed in Halimce, a village east of the town...

 
Kurdish forces recaptured the town on January 26 in a symbolic blow to the jihadists who have seized large swathes of territory in their onslaught across Syria and Iraq. But the town is now characterised by demolished buildings, with heavily armed fighters roaming otherwise deserted, rubble-strewn streets.

Although their town has been liberated, thousands of residents are now settling into Turkey's newest refugee camp for an indefinite stay and have been warned not to return until the area has been fully secured.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...