Anti Ezekiel awa mama kwa mara ya kwanza, azaa na Dancer wa Diamond.
Kupitia ukurasa wake wa Instagram msanii wa Bongo Movie anaejulikana kwa
jina la Aunty Ezekiel ameweza kuweka kipande kifupi akiwa hosp baada ya
kutoka kujifungua, bado hatujajua ni mtoto wa kiume au wa kike. Tazama
video hapa chini
No comments:
Post a Comment