ADV

ADV

ADVERTISEMENT CORNER

HUDUMA YA KUKATA TICKET ZA NDEGE ONLINE


SOMA HABARI

SOMA HABARI
Showing posts with label HIVI NDIVYO OFISI ZA CHADEMA ARUSHA ZILIVYOCHOMWA MOTO.. Show all posts
Showing posts with label HIVI NDIVYO OFISI ZA CHADEMA ARUSHA ZILIVYOCHOMWA MOTO.. Show all posts

Tuesday, December 3, 2013

HIVI NDIVYO OFISI ZA CHADEMA ARUSHA ZILIVYOCHOMWA MOTO



Hapa ndipo walipoingilia waliochoma ofisi ya CHADEMA mkoani Arusha
Na aliyekuwa mwanachama wa CHADEMA (Mboya) aliefukuzwa ndani ya chama na kuhamia CCM miezi minne iliyopita ambaye kwasasa ni kiongozi ndani ya CCM anashukiwa kuhusika na tukio hili kwasasa anatafutwa na polisi.

Mwonekano wa Ofisi ya chadema mkoa wa Arusha iliyochomwa moto baaada ya kuufanikisha kuuzima moto huo


Hii ndio hali halisi baada ya kuchomwa kwa ofisi ya CHADEMA Mkoani Arusha
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...