ADV

ADV

ADVERTISEMENT CORNER

HUDUMA YA KUKATA TICKET ZA NDEGE ONLINE


SOMA HABARI

SOMA HABARI
Showing posts with label Jakaya Mrisho Kiwete. Show all posts
Showing posts with label Jakaya Mrisho Kiwete. Show all posts

Thursday, October 10, 2013

JK ATEMBELEA KITUO CHA AFYA BAGAMOYO (IHI)

Advo_3b997.jpg
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimsikiliza Advocatus Kakorozya akimwelezea jinsi tasisi inavyotumia teknologia kupata taarifa mbalimbali za afya ambazo zimesaidia sana serikali kutunga sera.
Rais Jakaya Kikwete alitembelea kituo cha Bagamoyo ya Taasisi ya Afya ya Ifakara (IHI) na kuonyeshwa kazi mbalimbali za utafiti zinazofanyika kituoni hapo. Raisi Kikwete aliisifia taasisi hiyo kwa kufanya kazi kubwa hasa katika upande wa ugonjwa wa Malaria na kujipatia sifa kubwa duniani.
Govella_61978.jpg
Rais Kikwete akimsikiliza mtafiti wa IHI Dk Nico Govella akimpa maelezo juu ya utafiti wake ambapo magunia ya katani yakichanganywa na kemikali fulani yanaweza kutumika kukinga wanadamu dhidi ya mbu wanaoeneza malaria.
Grace_1a24b.jpg
Rais Kikwete akimsikiliza Grace Mwangoka wa IHI akimweleza shughuli mbalimbali za maabara kwenye taasisi hiyo.
Joseph_39da2.jpg
Rais Kikwete akimsikiliza Joseph Madata ambaye ni mkutubi akimwelezea matumizi ya maktaba mtandao (digital library) ya taasisi hiyo.
Group_93ffc.jpg
Rais Kikwete akiwa kwenye picha ya pamoja na wafanyakazi wa IHI pamoja na wenzao kutoka Equatorial Guinea ambao wapo kwenye kituo hicho cha Bagamoyo kwa ajili ya mafunzo.

Thursday, May 16, 2013

RAIS DKT. JAKAYA KIKWETE AZINDUA KAMPENI YA LISHE

lishe6 
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimkabidhi Rais Mstaafu Alhaj Ali Hassan Mwinyi tuzo maalum iliyotolewa na Taasisi ya Chakula na Lishe kutambua mchango wake mkubwa katika kusimamia lishe na maendeleo yake  nchini  katika uzinduzi wa kampeni ya lishe nchini  leo Machi 16, 2013  katika bustani ya Mnazi Mmoja jijini Dar es salaam. Kulia ni Rais Mstaafu Alhaj Ali Hassan Mwinyi na kushoto ni Mama Salma Kikwete akifuatiwa na Mama Maria Nyerere
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...