Waziri Mkuu, Mizengo
Pinda akisalimiana na wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Kibosho wakati
alipokutana nao kwenye uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro
wakiwa katika ziara ya kujifunza masuala ya usafiri wa anga. Mheshimiwa
Pinda alikuwa akienda Dar es salaam akitoka Arusha Septemba 5, 2014.
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
ADV

SOMA HABARI

Showing posts with label MH. PINDA AKUTANA NA WANAFUNZI WA SHULE YA SEKONDARI KIBOSHO. Show all posts
Showing posts with label MH. PINDA AKUTANA NA WANAFUNZI WA SHULE YA SEKONDARI KIBOSHO. Show all posts
Subscribe to:
Posts (Atom)