
Mark Zuckerberg alianzisha Facebook kwenye Harvard chumba cha bweni
Facebook ni mtandao wa Kijamii, ambao
unatokana na jina la colloquial name for the book ulianzishwa nchini
marekani kwa ajili ya wanafunzi ili uweze kuwasaidia wanafunzi hao
kuweza kuwasiliana na kutambuana kila mmoja.
It was founded in February 2004 by
Mark Zuckerberg with his college roommates and fellow Harvard University
students Eduardo Saverin, Andrew McCollum, Dustin Moskovitz and Chris
Hughes.
Mtandao huu ulianzishwa kwa ajili ya
wanafunzi wa chuo kikuu cha Harvard, lakini baadaye ulipanuka hadi vyuo
vingine vya maeneo ya Boston, the Ivy League, naStanfordUniversity.
Hatua kwa hatua ulizi kuungwa mkono na wanafunzi kwa kuongeza usaidizi
kabla ya kufunguliwa katika vyuo vikuu vingine, na hatimae kufukia kwa
kila mmoja mwenye kufikia umri wa miaka 13 na zaidi. Facebook kwa sasa
inaruhusu mtumiaji yeyote ambao watabainisha angalau kutimiza miaka 13
ili wajisajili katika facebook kama watumiaji.