MBUNGE AWACHANA MAWAZIRI MBELE YA JK , WANANCHI WAZUIA MSAFARA WA RAIS

Wananchi wa Mlangali wakiwa wamezuia msafara wa Rais Kikwete

Madai ya wana Ludewa kwa JK

Mbunge wa
jimbo la Ludewa Deo Filikunjombe kushoto akisaidia kueleza kero za wana
Ludewa kwa Rais Kikwete baada ya msafara wake kuzuiwa eneo la Mlangali
leo

Msafara wa JK ukiwa umezuiwa eneo la Mbwila Ludewa leo
MBUNGE wa jimbo la Ludewa Deo
Filikunjombe awafyatua mawaziri mbele ya Rais Jakaya Kikwete kuwa
wamekuwa wakitembelea jimbo lake la Ludewa wakati wa ziara ya Rais na
waziri mkuu wakati siku zote wananchi wa jimbo hilo wanalia kwa kero
mbali mbali.