Watuhumiwa waliohukumiwa kifo kutokana na mauaji ya Fundikira MTM 1900 Sajenti Roda
Robert(42) wa kikosi cha JKT-Mbweni na MT 75854 Koplo Ally Ngumbe (37)
wa JWTZ-Kunduchi
--
WATUHUMIWA katika mauaji ya Swetu
Fundikira, MTM 1900 Sajenti Roda Robert (42) wa kikosi cha JKT - Mbweni
na MT 75854 Koplo Ally Ngumbe (37) wa JWTZ-Kunduchi leo wamehukumiwa
kifo baada ya kupatikana na hatia na Mahakama Kuu Kanda ya Dar es
Salaam.Habari zaidi Baadae
Mohammad Ajmal Kasab
Kitanzi kikiwa tayari kwa ajili ya kutekeleza hukumu ya kifo ya Mohammad Ajmal Kasab
Kusoto ni Mohammad Ajmal Kasab wakati akitekeleza shabulio lililouwa watu wengi Mumbai mwaka na kushoto ni Mohammad Ajmal Kasab akisomewa hukumu yake ya kifo
Baada ya kunyongwa leo asubuhi
Aina mbali mbali za utekelezaji wa hukumu ya kifo kwa kunyongwa.
Wakati Watanzania tukisikia kwenye vyombo mbali mbali vya habari juu ya hukumu ya kifo kwa maafisa wa Jeshi la Tanzania waliotiwa hatiani kwa kumuua Swetu Fundikira, huko India Mohammad Ajmal Kasab ambaye ni mshambuliaji pekee aliyesalia katika shambulio lililotokea
Chhatrapati Shivaji Terminus au Victoria Terminus Mumbai India na kuuwa watu zaidi ya sitini ameuwawa leo asubuhi kwa kunyongwa hadi kufa.
Chhatrapati Shivaji Terminus au Victoria Terminus Mumbai India na kuuwa watu zaidi ya sitini ameuwawa leo asubuhi kwa kunyongwa hadi kufa.
Hukumu ya kunyongwa hadi kufa imekuwa ikipingwa sana duniani kwani wengi. Pengine ni wakati mwafaka wa Watanzania kuanzisha mjadala wa namna hukumu hii inavyoweza kuepukika na pendine watuhumiwa kufungwa maisha. Kuna faida gani kumyonga mtuhumiwa ambaye amefanya uuwaji? Hukumu ya kifo haitamfanya mtuhumiwa ajutie kwani hapati hiyo nafasi. Which one is a lesser evil? All are evils and all are acts of killing. Kwa walioona ndugu wa baadhi ya watuhumiwa jana wakishangilia hukumu ile ya kifo tena kwa ndugu yao, inatia huzuni kweli.
No comments:
Post a Comment