Rais
Jakaya Kikwete akinyanyua juu mfano wa hundi yenye thamani ya Sh8
bilioni aliyokabidhiwa na Mkurugenzi mtendaji wa Vodacom Tanzania Rene
Meza wa tatu toka kusho zilizochangwa na kundi la kampuni ya Vodafone na Vodacom
Tanzania kusaidia mradi wa fistula Tanzania ikiwemo ujenzi wa Hospitali
ya huduma ya Afya ya uzazi ya Baobab chini ya CCBRT Hospital,jijini Dar
es Salaam.
Mkurugenzi
Mtendaji wa Vodacom Tanzania Bw.Rene Meza akisema machache wakati wa
makabidhiano ya mfano wa hundi yenye thamani ya Sh8 bilioni
aliyoikabidhi rasmi kwa Rais Jakaya Mrisho Kikwete fedha hizo
zilizochangwa na kundi la kampuni ya Vodafone na Vodacom
Tanzania kusaidia mradi wa fistula Tanzania ikiwemo ujenzi wa Hospital
ya huduma ya Afya ya uzazi ya Baobab chini ya CCBRT Hospital,jijini Dar
es Salaam.
Rais Jakaya Kikwete akiongea na wafanyakazi wa CCBRT na Vodacom pamoja
na mabalozi waliohudhuria hafla hiyo ya makabidhiano ya mfano wa hundi
yenye thamani ya Sh8 bilioni,aliyokabidhiwa rasmi na Mkurugenzi mtendaji
wa Vodacom Tanzania Rene Meza zilizochangwa na kundi la kampuni ya Vodafone na Vodacom
Tanzania kusaidia mradi wa fistula Tanzania ikiwemo ujenzi wa Hospitali
ya huduma ya Afya ya uzazi ya Baobab chini ya CCBRT Hospital,jijini Dar
es Salaam.
Rais Jakaya Kikwete akifafanua jambo kwa Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom
Tanzania Bw.Rene Meza kushoto na Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya
CCBRT Bw.Erwin Telemans wakati wa makabidhiano rasmi ya mfano wa hundi
yenye thamani ya Sh8 bilioni fedha hizo zilizochangwa na kundi la kampuni ya Vodafone na Vodacom
Tanzania kusaidia mradi wa fistula Tanzania ikiwemo ujenzi wa Hospitali
ya huduma ya Afya ya uzazi ya Baobab chini ya Hospitali ya CCBRT,jijini
Dar es Salaam.
Rais Jakaya Kikwete akiwa kwenye picha ya pamoja na baadhi ya wafanyakazi wa Vodacom Tanzania kwenye hafla hiyo.
Rais
Jakaya Kikwete akimsalimia mtoto Kanani Masoud kutoka Kigoma anatibiwa
CCBRT wakati alipofika kukabidhi mfano wa hundi yenye thamani ya Sh8
aliyokabidhiwa na Mkurugenzi mtendaji wa Vodacom Tanzania Rene Meza
hayupo pichani,zilizochangwa na kundi la kampuni ya Vodafone na Vodacom
Tanzania kusaidia mradi wa fistula Tanzania ikiwemo ujenzi wa Hospitali
ya huduma ya Afya ya uzazi ya Baobab chini ya CCBRT Hospital,jijini Dar
es Salaam.
No comments:
Post a Comment