Mkurugenzi wa Kitivo cha Ujasiriamali cha Chuo Kikuu cha Dar es Salaam(UDEC), Maria Nchimbi akitoa mada wakati wa shindano
la kuandika michanganuo ya biashara na kuvishirikisha vyuo vikuu
vilivyopo jijini Dar es Salaam. Benki ya CRDB ndio wadhamini wa shindano
hilo.
Ofisa Masoko wa CRDB, Emmanuel Kiondo akitoa mada kuhusu
huduma zinazotolewa na benki hiyo wakati wa shindano la kuandika
michanganuo ya biashara na kuvishirikisha vyuo vikuu vilivyopo jijini
Dar es Salaam. Benki ya CRDB ndio wadhamini wa shindano hilo.
Ofisa Masoko wa CRDB, Emmanuel Kiondo (kushoto) akiwa na Katibu Mtendaji wa Baraza la Taifa la Uwezaeshaji na Kiuchumi wakati
wa shindano la kuandika michanganuo ya biashara na kuvishirikisha vyuo
vikuu vilivyopo jijini Dar es Salaam. Benki ya CRDB ndio wadhamini wa
shindano hilo.
Baadhi ya washiri wakipata maelezo kutoka kwa maofisa wa benki ya CRDB
Baadhi
ya Wanafunzi wa vyuo vya Elimu ya Juu wakipewa vipeperushi kutoka kwa
Ofisa wa benki ya CRDB, wakati wa shindano la kuandika michanganuo ya
biashara na kuvishirikisha vyuo vikuu vilivyopo jijini Dar es Salaam.
Benki ya CRDB ndio wadhamini wa shindano hilo.
Waziri
Mkuu Serikali ya wanafunzi wa Chuo cha Elimu ya Biashara (CBE), Enos
Lupimo (kushoto) akipata maelezo kutoka kwa Ofisa wa Benki ya CRDB,
Tumaini Kamuhanda (wa pili kulia) kuhusu huduma za kibenki zinazotolewa
na benki hiyo wakati wa shindano la kuandika michanganuo ya biashara na
kuvishirikisha vyuo vikuu vilivyopo jijini Dar es Salaam. Benki ya CRDB
ndio wadhamini wa shindano hilo.
No comments:
Post a Comment