ADV

ADV

ADVERTISEMENT CORNER

HUDUMA YA KUKATA TICKET ZA NDEGE ONLINE


SOMA HABARI

SOMA HABARI

Monday, November 19, 2012

Watumishi wa Ofisi Ndogo ya CCM Lumumba Jijini Dar es Salaam,Wawakaribisha Viongozi Wapya wa Sekretarieti ya CCM


Katibu Mkuu wa CCM,Abdulrahaman Kinana,akisalimiana na Katibu wa Mkoa wa Vyuo Vikuu ,Christopher Ngubiagai, leo tarehe 19/11/2012 , Ofisi Ndogo CCM  Lumumba.
Katibu wa Uchumi wa Fedha Mama Zakhia Meghji akipokelewa makao Makuu ya Chama, Ofisi Ndogo Lumumba.
Dk.Asha Rose Migiro,Katibu wa siasa na uhusiano wa kimataifa akipokelewa kwa furaha. CCM Ofisi ndogo Lumumba.Picha na Bashiri Nkromo-Idara ya itikadi na Uenezi-CCM

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...