Shughuli ya upimaji wa macho kwa watoto, ikiendelea
katika Viwanja vya Mnazi Mmoja, wakati wa uzinduzi wa mpango huo, leo.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akitia saini maalum
ikiwa ni ishara ya uzinduzi wa Mpango wa miaka minne wa ‘Kuona ni
Kuamini’ maalum kwa ajili ya kuboresha afya ya macho kwa watoto kwa Nchi
za Kenya, Uganda na Tanzania, uliodhaminiwa na Benki ya Standard
Chartered, uliofanyika katika Viwanja vya Mnazi Mmoja, jijini Dar es
Salaam, leo Nov 20, 2012.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisikiliza maelezo
kutoka kwa Dkt. Paulina Mvella, wakati akimpima mtoto, Brayan Paul (7)
mkazi wa Kigamboni, wakati Makamu alipokuwa akitembelea katika Mabanda
kujionea shughuli za upimaji macho kwa watoto, wakati wa uzinduzi wa
Mpango wa miaka mine wa ‘Kuona ni Kuamini’ maalum kwa ajili ya kuboresha
afya ya macho kwa watoto kwa Nchi za Kenya, Uganda na Tanzania,
uliodhaminiwa na Benki ya Standard Chartered, uliofanyika katika Viwanja
vya Mnazi Mmoja, jijini Dar es Salaam, leo Nov 20, 2012. Wa pili
kushoto ni Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu, TAMISEMI, Agrey Manry.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisikiliza maelezo
kutoka kwa Daktari Bingwa wa (kulia) macho wa Watoto, kutoka Hospitali
ya Taifa Muhimbili, ‘Optometrist’, Judith Mwenda, wakati Makamu
alipokuwa akitembelea katika Mabanda kujionea shughuli za upimaji macho
kwa watoto, wakati wa uzinduzi wa Mpango wa miaka mine wa ‘Kuona ni
Kuamini’ maalum kwa ajili ya kuboresha afya ya macho kwa watoto kwa Nchi
za Kenya, Uganda na Tanzania, uliodhaminiwa na Benki ya Standard
Chartered, uliofanyika katika Viwanja vya Mnazi Mmoja, jijini Dar es
Salaam, leo Nov 20, 2012. Kushoto ni Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu,
TAMISEMI, Agrey Manry, (wa tatu kushoto) ni Mtoto Abubakar Siaba Kaim,
mkazi wa Keko Mwanga, akipimwa macho.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akihutubia wakati wa
uzinduzi wa Mpango wa
miaka mine wa ‘Kuona ni Kuamini’ maalum kwa ajili ya kuboresha afya ya
macho kwa watoto kwa Nchi za Kenya, Uganda na Tanzania, uliodhaminiwa na
Benki ya Standard Chartered, uliofanyika katika Viwanja vya Mnazi
Mmoja, jijini Dar es Salaam, leo Nov 20, 2012. Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais
No comments:
Post a Comment